HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 12, 2016

MAJALIWA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA SITTA

Waziri Mkuu, Kasim Majliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016. 

No comments:

Post a Comment

Pages