Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa
Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika (wa tatu kushoto),
akizungumza na wazee wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga mkoani Morogoro
wakati alipofika kituoni hapo kutoa msaada wa
vitu mbaimbali vyakula, vifaa vya usafi, nguo pamoja na sabuni za
kufulia.
Afisa
Uhusiano wa mamlaka hiyo, Bw. Ally Masaninga, wakigawa mifuko yenye vyakula kwa
wazee wanaolelewa katika kituo cha Fungafunga Mkoani Morogoro.
Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde (kushoto)
akimkabidhi fulana Afisa Mfawidhi wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga, Bi. Yolanda Komba wakati SSRA ilipotembelea kituo hicho hivi karibu.
Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah KibondeMsika(kushoto)
akimkabidhi fulana Afisa Msaidizi Mfawidhi wa Kituo cha kulelea wazee cha
Fungafunga Bw Rahid Omary wakati wa ziara ya SSRA katika kituo hicho.
Baadhi
ya wazee wanaolelewa na kituo cha wazee cha Fungafunga, wakiwa wamekusanyika
kwenye viwanja vya kituo hicho, kusubiri kugawiwa vyakula na vitu mbalimbali
vilivyotolewa msaada na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya
Hifadhi ya Jamii (SSRA), hivi karibuni.
Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika
(katikati), akionyesha baadhi ya vitu vilivyotolewa na SSRA kwa wazee
wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro.
Afisa
wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Bw. Ally Masaninga, akimkabidhi sabuni kwa mmoja ya wazee wanaolelewa na kituo
cha Fungafunga cha Morogoro.
Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika
(wa nne kutoka kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazee
wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro, mara baada ya kuwakabidhi
msaada wa vyakula, vifaa vya usafi na sabuni za kufulia.
Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa
Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akizungumza na wazee
wa kituo cha Fungafunga, mara baada ya kukabidhi msaada wa chakula na vifaa vya
usafi katika kituo hicho Mkoani Morogoro hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment