Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, marehemu Samuel Sitta nyumbani kwake Oysterbay Masaki jijini Dar es Salaam leo. Samuel Sitta amefariki usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumani wakati akipata matibabu ya saratani ya tezi dume. (Picha na Francis Dande)
Nyumbani kwa marehemu, Samuel Sitta.
Aliyekuwa mbunge wa Tabaro mjini, Aden Rage akizungumzaia kifo cha Spika mstaafu Samuel Sitta nyumbani kwake Masaki.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akisaini kitabu wa maombolezo.
Marehemu Samuel Sitta enzi za uhai wake.
Waombolezaji.
Waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Samuel Sitta.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa na waombolezaji wengine.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akizungumza na waandishi wa habari.
Katibu
Mtendaji Mkuu wa SADC, Dk. Stergomena Tax akisaini kitabu cha maombolezo.
Poleni sana.
Waombolezaji.
Meya wa Kinondoni Benjamini Sitta ambaye ni mtoto wa Spika mstaafu, marehemu Samuel Sitta akizungumza na waandishi wa habari nyumba kwa marehemu Masaki Oysterbay jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment