HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 09, 2016

WENGI WAJITOKEZA MSIBA WA SITTA, MUNGAI

 Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Meya wa Kinondoni, Mustapha Muro akimpa pole mtoto wa Spika mstaafu, marehemu Samuel Sitta, Agnes Sitta nyumbani kwao Msasani Peninsula jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meya wa Kinondoni Benjamin Sitta.
Benjamin Sitta ambaye ni mtoto wa marehemu Samuel Sitta (kushoto) akizungumza na aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Meya wa Kinondoni kupitia Chadema, Mustapha Muro alipofika kumpa pole nyumbani kwao Msasani Peninsula jijini Dar es Salaam.
 Mustapha Muro akiweka saini katika kitabu cha maombolezo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishana Simon Sirro akiweka saini katika kitabu cha maombolezo.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zanzibar, Salumu Mwalim akizungumza na Wiliam Mungai ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Waziri wa zamani wa Elimu marehemu Joseph Mungai nyumbani kwao Oysterbay jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Pages