Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru(kushoto) akiwa katika Banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakati wa kufunga Maonesho ya viwanda viwanja vya sabasaba.
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe akitoa maelezo mbalimbali juu ya Mfuko huo.
Kulia Afisa Mwendeshaji Mfuko wa Pensheni wa PSPF Hadji
Jamadary akitoa elimu kwa Mwananchi kuhusiana na uchangiaji wa hiari huku
akimwonyesha bango lililo orodhesha mafao yanayo tolewa na PSPF kupitia PSS.
Mmoja wa wananchi walio fika na kujisajiri na mfuko wa PSPF
akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa uachangiaji wa hiari (PSS).
Afisa Mwendeshaji Mfuko wa Pensheni wa PSPF Hadji Jamadary
akikabidhi vitambulisho kwa badhi ya wanachama walio jiunga na mpango wa
uchangiaji kwa hiari katika maadhimisho ya maonyesho ya viwanada jijini dar
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (Kushoto), akiwapa vitambulisho wanachama waliojiunga na mfuko huo kupitia uchangiaji wa hiali (PSS).
No comments:
Post a Comment