Bw. Venanti Kagombora wa Bunju Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Omulangira Cornel Kagombora, kilichotokea leo katika Hospitali ya Serikali ya Mkoa, mjini Bukoba. Habari ziwafikie watoto wake Verdiana Kagombora na Prosper Kagombora wa TEXAS Marekani, mkwe wa marehemu Bw. Justin Lambert wa Dar es Salaam na Father Mushuga wa Ibalaizibu Bukoba. Mazishi yafanyika Jumapili, tarehe 1 Januari, 2017 nyumbani kwake Katika kijiji cha Bulembo kitongoji cha Katoma Kamachumu, Kagera.
December 31, 2016
Home
Unlabelled
Tangazo la kifo cha Mzee Omulangira Cornel Kagombora
Tangazo la kifo cha Mzee Omulangira Cornel Kagombora
Share This

About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment