HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

January 26, 2017

MADAKTARI AFRIKA WA MAREKANI WATOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MOPYO KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARIO WA JKCI

Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na  Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau.

 Daktari Bingwa wa Moyo kutoka Madaktari Afrika wa nchini Marekani Dkt. Peter O’brien na Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ayoub Mchau wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). 
Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizi kutoa  huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization).  Picha na Anna Nkinda – JKCI

No comments:

Post a Comment

Pages