HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 14, 2017

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MUUNGANO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiongoza kikao cha  Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi, kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 Baadhi wa Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia kwa makini kikao hicho ambacho changamoto mabli mbali zinazohusu Muungano.

No comments:

Post a Comment

Pages