Mchezaji wa Celta Vigo, Facundo Roncaglia (kushoto), akichuana na Lucas Vazquez wa Real Madrid wakati wa mechi ya Kombe la Mfalme (Copa del Rey) iliyochezwa usiku wa kuamkia leo kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid, ambako wenyeji walifungwa mabao 2-1. Kipigo hicho cha pili mfululizo kwa Madrid iliyokuwa imecheza mechi 40 bila kufungwa, kabla ya akudunguliwa 2-1 na Sevilla katika Ligi Kuu ‘La Liga.’ Picha na Daily Mail.
Mshambuliaji wa Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo akiruka daruga la Gustavo Cabral wa Celta Vigo wakati wa mechi ya Kombe la Mfalme (Copa del Rey) iliyochezwa usiku wa kuamkia leo kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid, ambako wenyeji walifungwa mabao 2-1. Kipigo hicho cha pili mfululizo kwa Madrid iliyokuwa imecheza mechi 40 bila kufungwa, kabla ya akudunguliwa 2-1 na Sevilla katika Ligi Kuu ‘La Liga.’ Picha na Daily Mail.
No comments:
Post a Comment