RATIBA
YA BONANZA LA KUHAMASISHA MAZOEZI,
UCHANGIAJI DAMU NA UPIMAJI AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM JUMAMOSI TAREHE 18/2/2017
Na.
|
Tukio
|
Mhusika
|
Muda
|
1
|
Kuw Washiriki kuwasili
|
Kamati
ya Maandalizi
|
11.30
- 12.00 Asubuhi
|
2
|
Kuwasili
Mgeni rasmi
|
Kamati
ya Maandalizi
|
12.00
– 12.10 Asubuhi
|
3
|
Mazoezi
ya mwanzo ( warm up)
|
Kamati
ya Maandalizi/ wakufunzi wa Mazoezi
|
12.10
– 12.25 Asubuhi
|
4.
|
Matembezi
ya Mazoezi
|
Kamati
ya Maandalizi/ wakufunzi wa Mazoezi
|
12.25
– 1.25 Asubuhi
|
5.
|
Mazoezi
ya kulainisha viungo baada ya Matembezi
|
Kamati
ya Maandalizi/ wakufunzi wa Mazoezi
|
1.25
– 1.55 Asubuhi
|
6
|
Burdani
|
|
1.55
– 2.10 Asubuhi
|
7.
|
Taarifa
fupi kuhusu Madhumuni ya Bonanza
|
Chama
cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO)
|
2.10
– 2.15 Asubuhi
|
8.
|
Kumkaribisha
Mgeni Rasmi
|
Jukwaa
la Wahariri (TEF)
|
2.15-2.20
Asubuhi
|
9.
|
Hotuba
ya Mgeni rasmi
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe.
Nape Moses Nnauye (Mb)
|
2.20
– 2.40 Asubuhi
|
10.
|
Neno la Shukran
|
Klabu
ya Waandishi wa Habari wa Jiji la Dar es Salaam (DCPC)
|
2.40
-2.45 Asuhihi
|
11.
|
Burdan
|
|
2.45-3.00
Asubuhi
|
12.
|
Kutembelea mabanda ya upimaji Afya bila
malipo na Mgeni rasmi kuondoka.
|
Mgeni rasmi/Viongozi
|
3.00
– 3.30 Asubuhi
|
|
Burdani Kuendelea
|
|
3.30
Asubuhi na Kuendelea
|
13.
|
Kuendelea na Bonanza, utoaji damu na
upimaji Afya
|
Wote
|
3.30 Asubuhi na Kuendelea
|
No comments:
Post a Comment