HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 23, 2017

HATIMA YA MBOWE MACHI 2

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akiangalia kitu katika simu yake pamoja na msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Sepetu, wakati wa kusikiliza maombi yake ya kutaka asikamatwe na Jeshi la Polisi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 2.  

No comments:

Post a Comment

Pages