HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2017

KATIBU MKUU WA CUF AENDELEA NA ZIARA YAKE PEMBA

 Katibu Mkuu wa CUF akizungumza na wanachama wa chama hicho katika Kijiji cha Kichuwani katika Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba mara baada ya kuvungua Tawi la chama hicho. (Picha na Talib Ussi).
Maalim Seif Sharif Hamad akichuma embe aina ya Boribo katika Kijiji cha Kichuwani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.

No comments:

Post a Comment

Pages