HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 20, 2017

MATUKIO TOFAUTI YA KATIBU MKUU WA CCM

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo Feb 20, 2017. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuonyesha sehemu ya kuketi, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, wakifurahia jambo, baada ya kuketi kwa ajili ya kuanza mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Feb 20, 2017.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,  leo Feb 20, 2017.
 Mazungumzo yakiendelea. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga ambaye alihudhuria mazungumzo hayo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 20, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpugia mkono wa kwa heri, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, wakati akiondoka katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 20, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga. 
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akimpokea Balozi wa Uingereza hapa nchini,  Darah Cooke alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akiwa na Balozi wa Uingereza hapa nchini,  Darah Cooke baada ya kumpokea alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akimpeleka Balozi wa Uingereza hapa nchini,  Darah Cooke katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu huyo wa CCM,  katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Korea Kaskazini  hapa nchini, Kim Yong Su, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Rwanda hapa chini, Eugene Kayihura, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akiagana na Balozi wa Rwanda hapa chini, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Pages