HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 20, 2017

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAFANYA IBADA MAALUM YA KUMSHUKURU MUNGU

Naibu Spika Dk. Tulia Ackson akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa Ibada maalum ya kumshukuru Mungu iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili ya Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Msasani. Kulia ni mke wa Dk. Kimei, Rose Kimei. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati), akimtambulisha Rose Kimei ambaye ni mke wake kwa Nibu Spika Dk. Tulia Ackson kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya kumshukuru Mungu iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili ya Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Msasani. 
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa.



No comments:

Post a Comment

Pages