HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 01, 2017

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SEMINA KUHUSU UMUHIMU WA TAKWIMU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo katika semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake.
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika  Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua semina kuhusu umuhimu wa takwimu na utekelezaji wake kwa  viongozi mbali mbali  iliyofanyika mjini Zanzibar. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abduhamid Yahya Mzee. (Picha na Ikulu). 

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Bibi Mayasa Mahfoudh Mwinyi alipokuwa akitoa Muhtasari wa Majukumu ya Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika Upatikanaji wa Takwimu na Utekelezaji wake katika semina ya viongozi iliyofanyika leo.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika  Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment

Pages