Jengo la mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC |
Umoja wa Afrika umeunga mkono mpango wa kujiondoa kwa pamoja katika mahakama ya ICC ambayo mataifa mengi ya Afrika yanahisi inawalenga viongozi wa bara la Afrika pekee.
Uamuzi huo uliochukuliwa katika kikao cha faragha haujahalalisha hatua hiyo.
- Gambia kujiondoa mahakama ya ICC
- Bosco Ntaganda agomea chakula ICC
- ICC yamkuta Bemba na hatia
- Kesi ya Ongwen yaanza ICC
- Burundi yajiondoa katika mahakama ya ICC
- Wabunge wa upinzani wamshtaki rais Museveni ICC
Viongozi wa Afrika wanasema kuwa mahakama hiyo ilikosea kumlenga rais wa Sudan Omar El Bashir kwa mauaji ya Darfur na Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kuchochea ghasia za baada ya uchaguzi. BBC
No comments:
Post a Comment