HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

February 14, 2017

YANGA YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA DAR

Mashabiki wa Yanga wakiwalaki wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC na kushinda mabao 5-1. (Picha na Francis Dande).
Mashabiki wa Yanga wakiwalaki wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC. 

Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC. 

 Viongozi wakiwasili leo.

No comments:

Post a Comment

Pages