HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 18, 2017

YANGA YATOKA SARE 1-1 NA NGAYA

Winga wa Yanga Simon Msuva (kulia), akitafuta mbinu zakumtoka beki wa Ngaya De Mde, Franck Abderemane, katika michuano  ya Klabu Bingwa Afrika, mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya michuano hiyo mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa (kushoto), akiwatoka mabeko wa Ngaya De Mde,katika michuano  ya Klabu Bingwa Afrika, katika mchezo wa marudiano wa raundi ya awali ya michuano hiyo mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya beki wao Mwinyi Haji, kufunga bao dhidi ya Ngaya De Mde,katika michuano  ya Klabu Bingwa Barani Afrika,katika mchezo wa marudiano wa raundi ya awali ya michuano hiyo mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages