Beki wa Simba, Hamadi Juma (kushoto), akiwania mpira huku akizongwa na mchezaji wa Mbeya City, Majaliwa Shaban katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Simba, Saidi Ndemla akimiliki mpira huku akizongwa na Haruna Shamte.
Mzamiru Yasin (kulia), akichuna na beki wa Mbeya City, Majaliwa Shabani.
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu, akijaribu kufunga huku golikipa wa Mbeya City, Kenny Ally akiwa tayari kuokoa.
Mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla, akichuana na beki wa Mbeya City, Haruna Shamte katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Hans Pluijm akishuhudia pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Mbeya City uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment