HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2017

HEART MARATHON YAFANYIKA DAR

 Mshindi wa kwanza wa mbio za KM 21 za Heart Marathon kwa upande wa wanawake, Mary Naali akifungua shampeni baada ya kushinda mbio hizo.

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, akimvisha medali ya dhahabu mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume, Gabriel Gerald.  
 Mshindi wa kwanza wa mbio za KM 21 za Heart Marathon kwa upande wa wanawake, Mary Naali akiwa na furaha baada ya mbio hizo. (Picha na Francis Dande).
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Vincent Kazwenge, akipima afya wakati wa mbio za Heart Marathon zilizoganyika jijini Dar es Salaam. 
Upimaji wa afya.

No comments:

Post a Comment

Pages