HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2017

SHEREHE ZA MUUNGANO

Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa TRanzania JWTZ,pamoja na Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri,wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo,Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais John Magufuli akiwa katika Gari maalum akiwapungia mkono wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakati wa sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages