Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Baba Askofu wa Kanisa la
Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya
kuwasili kanisani hapo kwa ajili ya Ibada ya Siku ya Pasaka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuzungumza Kanisani hapo.
Wanakwaya katika Kanisa hilo wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya Ibada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza Kanisani (AIC-Magomeni ) mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.
Picha namba 10. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza Kanisani (AIC-Magomeni ) mara baada ya Ibada ya Pasaka.
No comments:
Post a Comment