HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 22, 2017

YANGA YAIBUTUA TANZANIA PRISONS KOMBE LA SHIRIKISHO YAICHAPA 3-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiruka juu sambamba na kipa wa Tanzania Prisons, Andrew Ntala katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-0.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo lililofungwa na Amis Tambwe.
 Wachezaji wa Tanzania Prisons wakiomba dua kabla ya mchezo.
 Mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Yanga na Prisons.
Benjamini Asukile (kulia) akichuana na mchezaji wa Yanga.
Kipa wa Tanzania Prisons, Andrew Ntala, akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Hekaheka katika lango la Prisons.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akimtoka kipa wa Tanzania Prisons, Aron Kalambo, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages