Waziri wa Maliasili Dk. Kigwangalla akiwasili eneo la Loliondo kushuhudia kiini cha mgogoro huo.
Dk. Kigwangalla akifuatilia ramani yenye kuonesha eneo la pori tengefu la Loliondo.
Baadhi ya wanyama walioonekana wakati Waziri Dk. Kigwangalla alipotembelea pori hilo ambapo awali wanyama hao walitoweka kutokana na kuingizwa kwamifugo.
Dk. Kigwangalla wakikatisha katika maeneo hayo ya Loliondo wakati akikagua maeneo yenye migogoro.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla akizungumza na wananchi jamii ya wafugaji (Hawapo pichaani) wakati alipotembelea eneo la Loliondo ili kubaini kiini cha mgogoro huo.

No comments:
Post a Comment