HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 29, 2017

MADIWANI KIGAMBONI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Property International, Halim Zaharan, akitoa ufafanuzi kwa madiwani wa Kigamboni walipotembelea eneo la uwelezaji la Kampuni hiyo. (Picha na Francis Dande).

Baadhi ya madiwani wa Kigamboni wakiangalia ramani inayoonyesha maeneo ya uwekezaji ya Kampuni ya Property International yaliyopo katika eneo la Kisarawe 2 Kigamboni.
Meya wa Kigamboni, Maabad Suleiman, akizugumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea eneo la Uwekezaji la Kampuni ya Property Inernational.
Barabara ya kuingia katika eneo la uwekezaji Kisarawe 2 Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Diwani wa Kata ya Kisarawe 2, Issa Zahoro , akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea eneo la Uwekezaji la Kampuni ya Property Internationl.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Property Internationa, Halim Zaharan, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati madiwani wa Kigamboni walipotembelea eneo uwekezaji lililotengwa kwa ajili ya Uuzaji wa magari. 
 Mkurugenzi Mkuyu wa Kampuni ya Property International, Halim Zaharan, akiwaonyesha baadhi ya waandishi wa habari ramani inayoonyesha maeneo ya uwekezaji pamoja na makazi ya watu.
 Msafara wa magari ya madiwani wa Kigamboni.
Sehemu ya eneo la uwekezaji lililopo Kisaeawe 2 Wilaya ya Kigamboni.

No comments:

Post a Comment

Pages