Waadishi wa habari wakimsikiliza mtoa mafunzo ya bidhaa za
Qnet, Sunny Shaper katika ofisi za Q-NET jijini Dar es Salaam.
Sunny Shaper akitoa mafunzoa kwa waandishi wa habari juu ya bidhaa za Q-NET jijini Dar es Salaam.
Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za
Qnet wakimsikiliza mtoa mafuno Azal Tholaya iliyofanyika katika ofisi za QNET
jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi na waakilishi wa QNET baada ya hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za
QNET iliyofanyika ofisi za QNET mjini Dar es laam wakiwemo mwakilishi wa QNET,
Tnazania, Benjamin Mariki, mkurugenzi, Frontline Porter Novelli, Helen Kiwia,
watoa mafunzo ya bidhaa za QNET, Azal Tholaya na sunny Shaper.
No comments:
Post a Comment