Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalumu
Mkoa wa Singida Martha Mlata (CCM) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya
Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka
2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfafanulia jambo Mbunge wa Viti
Maalumu Mkoa wa Mara Joyce Sokombi.(chadema) wakati wa Majadiliano ya
Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa
Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini
kwake mjini Dodoma leo Novemba 10/2017 kwa mazungumzo ya kikazi.Katikati ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment