Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Bi. Betha Bankwa akitoa maelezo
mbalimbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kigoma Malima (wa pili
kulia) leo Ijumaa alipofanya ziara kwenye kiwanja hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kigoma Malima (aliyenyoosha mkono), akielekeza jambo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Bi. Betha Bankwa leo alipotembelea kiwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment