Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watanzania waishio nchini
Uganda katika eneo la Masaka.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri
Museveni wakati wakizungumza na wanahabari mara baada kumaliza ya kufanya
mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wa kupiga ngoma pamoja na mwenyeji
wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika eneo la Kyotera nchini Uganda. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment