Meneja wa Wateja wa Tigo Pesa, Mary Rutta, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza washindi wa promosheni ya ‘Tumia Upate Kushinda’ Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano ya Ndani, Umi Mtiro. (Picha na Francis Dande).
Prochess Mrosso, ambaye ni mmoja aa washindi wa promosheni ya 'Tumia Upate Kushinda' akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya kiasi cha Shs. 500,000.
Bi. Editha Maliyamoto, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna alivyoshiriki promosheni hiyo na kushinda.
Mmoja wa washindi akionyesha simu yake baada ya kupokea muamala wa fedha zake alizoshinda.
Washindi wa promosheni ya 'Tumia Upate Kushinda'wakionyesha simu zao baada ya kupokea fedha kutoka tigo.

NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo, leo imekabidhi zawadi ya promosheni ya ‘Tumia na Ushinde’ kwa washindi 28.
Washindi hao walikabidhiwa fedha zao na kufikisha idadi ya washindi 90 wa sh. Milioni moja na wengine sh.500,000.
Akizungumza Dar es Salaam, Meneja wa Wateja wa Tigo Pesa, Mary Rutta, alisema mashindano hayo yanafanyika nchi nzima ambapo kilele chake itakua Desemba 30 mwaka huu.
Alisema Desemba 30 mwaka huu itafamnyika droo kubwa ambapo atapatikana mshindi wa sh. milioni 15, sh. milioni 10 na mwingine atapata sh. milioni tano.
Alisema watumiaji wa simu za mkononi wanatakiwa kuendelea kutumia miamala ili kujiongezea nafasi ya kushinda.
Mmoja wa washindi wa sh.milioni moja, Elizabeth Jonas (29) mkazi wa Dar es Salaam, alisema anashukuru kupata fedha hizo ambazo zitamsaidia kuongeza mtaji wa biashara zake.
No comments:
Post a Comment