Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kikao cha
kujadili masuala mbalimbali ya Jeshi la Magereza baada ya kukutana na Katibu
Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira (kushoto) na
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Dk. Juma Malewa. Kikao hicho
kimefanyika leo ofisi ya wizara,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira (kushoto)
na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa(kulia),
wakimsikiliza Waziri wa wizara hiyo, Dk.
Mwigulu Nchemba walipokutana kujadili masuala
ya jeshi hilo. Kikao hicho kimefanyika leo ofisi ya wizara,jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira,
akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba na Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa (kulia), wakati wa kikao cha
kujadili masuala mbalimbali ya jeshi hilo.Kikao hicho kimefanyika leo ofisi ya
wizara,jijini Dar es Salaam.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA
MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment