Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akitema cheche wakati akimnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akimnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
Wananchi na wana CCM wakitimua vumbi kumlaki Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole , alipowasili kwenye viwanja vya Mtambani, kumnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akimsalimia Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni baada ya kuwasili kumnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia (wa pili kushoto) katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni katibu wa CCm mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akimsalimia mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba baada ya kuwasili kumnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akisaini kitabu cha wageni baada ya kuketi.
Mwenyekiti wa zamani wa Wilaya ya Kinondoni Ndugu Londa akizungumza baada ya kukaribishwa jukwaani kusalimia.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate kamba akimkaribisha Ndugu Polepole jukwaani baada ya kuhutubia
Ndugu Polepole akitamba jukwaani kabla ya kumwita jukwaani Ndugu Mtulia kumnadi
Polepole akimnadi Mtulia kwa wananchi.
" Na utatutuzi wa matatizo ya wananchi kwako utakuwa rahisi ukitumia Ilani hii ya CCM, maana kila kitu kimo humu" akaongeza Ndugu Polepole kumwambia Ndugu Mtulia kabla ya kumkabidhi kitabu hicho cha Ilani ya CCM ya 2015-2020.
Wananchi wakizidi kushangilia kwa vifijo
Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia akiomba kura katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment