Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua
kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua
kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali mara baada ya kuweka
Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika
Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye Kaburi
la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu
ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam
Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara
baada ya kuweka udogo kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wajukuu wa marehemu pamoja na
wafiwa wengine wakiwa katika hali ya majonzi makaburini hapo.
Rais Mstaafu wa awamu ya
Tatu Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment