HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 29, 2018

‘Asilimia 40 ya chakula inapotelea njiani’


Mratibu wa Semina ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazao Ghalani, Dk. Omari Swalehe, akizungumza na washiriki wa semina hiyo.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Maige Mwasimba, akitoa mada katika semina hiyo.



Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Maige Mwasimba, akitoa mada katika semina hiyo.

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam Dkt. Lucy Massoi (katikati), kulia ni Beatrice Millu Mwakirishi wa Kuehne Foundation na kushoto ni Dkt. Faisal Issa Kaimu Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma.
Dkt. Faisal Issa Kaimu Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma, akizunguma wakati wa semina hiyo.

Mratibu wa Taasisi ya Kuehne, Beatrice Millu, akizungumza na washiriki taasisi hiyo.

Baadhi ya washiriki wa semina kutoa sehemu mbalimbali wakimsikiliza mkufunzi Dkt. Maige Mwasimba (hayupo pichani).

Mwakilishi wa Kuehne Foundation Tanzania, Beatrice Millu, akizungumza na wanasemina.

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dkt. Lucy Massoi, akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo.

Waliokaa ni Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam Dkt. Lucy Massoi (katikati), kulia ni Beatrice Millu Mwakirishi wa Kuehne Foundation na kushoto ni Dkt. Faisal Issa Kaimu Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma.

No comments:

Post a Comment

Pages