Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu
ya Taifa (NEC) Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Katibu Mkuu
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wajumbe wa mkutano
wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakati akiwasilisha Ripoti ya Uhakiki wa mali
za Chama cha Mapinduzi CCM kwa wajumbe hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe
wa NEC hawaonekani pichani, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais
wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
CCM Dkt. Bashiru Ally
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe
mara baada ya kikao cha NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara
baada ya kukabidhiwa makabrasha yenye taarifa za uhakiki wa mali za Chama
hicho.
Wajumbe
kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakishangilia wakati kikao hicho
kilipokuwa kikiendelea Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally mara baada ya
kumpendekeza na kupitishwa na wajumbe
wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada
ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally wapili kutoka kulia
kwenye meza kuu kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri
Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwashukuru Wajumbe wa NEC kwa
kumpitisha kuwa Katibu Mkuu wa Chama Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwa meza kuu mara baada ya
kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wajumbe wa mkutano
wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakati akiwasilisha Ripoti ya Uhakiki wa mali
za Chama cha Mapinduzi CCM kwa wajumbe hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment