Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage, akipeana mkono na Meneja
wa Mfumo wa Malipo ya Kielectroniki wa Benki ya CRDB, Admin Mwansasu, alipotembelea banda la CRDB wakati wa hafla ya utaji tuzo za Rais
za Mzalishaji Bora Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017. Benki ya CRDB ilikuwa Mdhamini Mkuu katika hafla hiyo.
Meneja
wa Mfumo wa Malipo ya Kielectroniki Benki ya CRDB, Admin Mwansasu,
akitoa maelezo kwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage, kuhusu huduma wanazotoa wakati wa hafla ya utaji tuzo za Rais
za Mzalishaji Bora Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017. Benki ya CRDB ilikuwa Mdhamini Mkuu katika hafla hiyo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage, akitoa hotuba yake katika hafla ya Utoaji Tuzo za
Rais za Mzalishaji Bora Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017.
Rais za Mzalishaji Bora Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi, akimpongeza Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage, baada ya kutoa hotuba yake.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimpongeza Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles Mwijage, baada ya kusoma hotuba yake.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimpongeza Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage, baada ya kutoa hotuba yake.
Mgeni rasmi Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage (katikati), akiwa na viongozi wengine.
Viongozi wa Benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa hotuba yake.
Wageni mbalimbali katika hafla hiyo.
Dk. Charles Kimei.
Viongozi wakijiandaa kutoa tuzo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage (katikati), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles
Mwijage (katikati), akimkabidhi Mkurugenzi wa TBL Group, tuzo za Rais
za Mzalishaji Bora Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017 na kudhaminiwa na Benki ya CRDB. Kushoto ni Mkurugenzi Mendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Ester Kitoka,
akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwezeshaji, Charles Mwaijage, wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa za Rais
za Mzalishaji Bora wa Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles Mwijage (kulia), akimkabisdhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais za Mzalishaji Bora (PYAMA) kwa mwaka 2017. Katikati ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), Dk. Samuel Nyantahe.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Ester Kitoka,
akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwezeshaji, Charles Mwaijage, wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa za Rais
za Mzalishaji Bora wa Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimpongeza Naibu
Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Ester Kitoka,
baada ya kupokea cheti cha shukrani kutoka kwa Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwezeshaji, Charles Mwaijage, wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo kwa za Rais
za Mzalishaji Bora wa Viwandani (PYAMA) kwa mwaka 2017. Benki ya CRDB ilikuwa mdhamini Mkuu katika hafla hiyo.
Kutoka kushoto ni Naibu
Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,
Ester Kitoka, Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya
CRDB, Dorah Ngaliga na Mkurugenzi wa Wateja wa Rejareja na Wadogo na wa Kati, Jessica Nyachilo.
Picha ya pamoja.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi. Benki ya CRDB ndio walikuwa wadhamini wakuu.
Washindi wa tuzo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
No comments:
Post a Comment