HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 11, 2018

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AKIWA KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana wakati akiondoka katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages