HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 06, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA MABASI CHA KISASA MSAMVU, MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali baada ya kufungua  kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiapeana mikono na  wadau mbalimbali baada ya kufungua  rasmi  kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  na viongozi na wadau mbalimbali wakipata maelezo ya mradi kabla ya ya kufungua  kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Morogoro Mjini Mhe. Abdulazizi Abood wakati wa sherehe za kufungua  kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Morogoro Kusini Mhe. Prosper Mbena wakati wa sherehe za kufungua  kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.
 Muonekano wa kituo kipya na cha kisasa cha mabasi kilichopo eneo la Msamvu katika manisapaa ya Morogoro kilichofunguliwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Mei 6, 2018. Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages