HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 26, 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MHE. JAJI MKUU, PROF. IBRAHIM JUMA LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia), akiongozana na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) wakielekea katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia), akiteta jambo na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia), akizungumza na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages