HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

May 24, 2018

WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA, ALPHAYO KIDATA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda  kwenye Makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay  jijini Dar es Salaam kuaga, Mei 23, 2018.  (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam kuaga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages