HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 06, 2018

10 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI

 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakisaidiana na wasamalia wema, kuokoa watu katika ajali iliyohusisha Basi la abiria la Hamida na Treni ya mizigo, Mjini Kigoma. Watu kumi wanasadikiwa kupoteza maisha, huku wengine 28 wakilazwa Hospitali ya Maweni mkoani humo kutokana na majeraha waliyopata. (Picha na Sitta Tumma).



No comments:

Post a Comment

Pages