Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako
akipita kuaga miili ya mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Walemavu, Stella Ikupa wakilia kwa
uchungu mara baada ya kufika katika viwanja vya chuo kikuu cha Ruaha
(RUCU) wakati wa ibada ya mazishi na kuaga miili ya mapacha walioungana
ya Maria na Consolata Mwakikuti

Jeneza
lilihifadhi miili ya marehemu Maria na Consolata Mwakikuti likishushwa
katika nyumba yao ya milele katika makaburi yanayotumika na mapadre na
masista wa kanisa katoliki la Roman yaliyoko Tosamaganga nje kidogo ya
manispaa ya Iringa.
No comments:
Post a Comment