Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Ndg.
Godwin Mkanwa (kushoto) alipowasili leo Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma. Kushoto
ni Mbunge wa Vijana kutoka Mkoa wa Dodoma, Mhe. Miriam Ditopile. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza
na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Ndg. Godwin Mkanwa
(katikati) na MNEC kutoka Mkoa wa Dodoma, Ndg. Ismail Jama (kushoto) leo Makao
Makuu ya CCM Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka Mkoa wa Dodoma wakati wa hafla ya
makabidhiano ya vitendea kazi Mbali mbali vya Ofisini na Vifaa vya michezo kwa
wanachama hao tukio lililofanyika leo Makao Makuu ya Chama Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment