Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Wang Ke alipowasili katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam Juni 11, 2018.
Balozi wa Jamhuri ya watu wa
China Tanzania Wang Ke akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili
katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu).
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akifafanua jambo katika kikao na
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Tanzania Wang Ke kilichofanyika katika Ofisi
ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam Juni 11, 2018.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akimsikiliza Balozi wa China
nchini Tanzania Wang Ke akielezea jambo wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika
Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es
Salaam Juni 11, 2018.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (sera na Uratibu) katika picha ya pamoja na Balozi
wa China nchini Tanzania Wang Ke baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi
kwake Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment