HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

June 22, 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS) OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili. Fatma Karume alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili. Fatma Karume (katikati) na Muweka Hazina wa Chama hicho, Ndg. Nicholaus Duhia walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ulioongozwa na Rais wa Chama hicho Wakili. Fatma Karume (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kulia) akiwa katika picha ya pamoja ugeni kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Rais wa Chama hicho Wakili. Fatma . Karume. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Pages