HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 26, 2018

WANAMUZIKI WA TAMUFO WAFURAHIA ZIARA YAO YA BUNGENI DODOMA

 Wanamuziki waliowana Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO), wakijadiliana mjini Dodoma huku wakifurahia safari yao ya ziara ya kutembelea Bunge.
 Katibu wa TAMUFO, Stellah Joel (kushoto), akifurahi na mwanamuzi Witness Mwepesi (kulia), pamoja na Madamu Ruth Mwamfupe.
 Mwanamuzi mkongwe Mzee Makasy akiwa na wanamuziki wenzake wa nyimbo za injili.
 Wanamuziki kutoka makundi mbalimbali wakitafakari jambo.
 Mzee Makasy akiwa na wanamuziki wenzake.

No comments:

Post a Comment

Pages