HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 07, 2018

NAIBU WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA BANDA LA UTT AMIS KATIKA MAONYESHO YA SABASABA 2018


Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kushoto), alipotembelea banda la UTT Amis katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mafunzo, Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Pauline Kasilati, akitoa maelekezo juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wananchi waliotembelea banda la kampuni hiyo.

Baadhi ya watu waliofika katika banda la UTT Amis wakipata maelezo kutoka kwa Ofisa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani.

Baada ya kupata elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja wananachi hawa wakijaza fomu ya kujiunga.
Baada ya kupata elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja wananachi hawa wakijaza fomu ya kujiunga.
Ofisa Mafunzo, Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Pauline Kasilati, akimpa maelezo kuhusu Uwekezaji wa Pamoja mwananchi aliyefika katika banda la UTT AMIS.
Maofisa wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages