HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 04, 2018

MAZIKO YA SHADRACK SAGATI YAMEFANYIKA KIJIJINI KWAKE MWIRURUMA MKOANI MARA


Jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Shadrack Sagati, likiwekwa mahali ambapo ibada ya kumuombea iliyofanyika katika Kijijini cha Mwiruruma, wilayani Bunda, mkoani Mara Agosti 4, 2018. (Picha na Emmanuel Hermani).

Ibada ya maziko ya Shadrack Sagati ikiendelea nyumbani kwao katika Kijiji cha Mwiruruma, Wilayani Bunda mkoani Mara Agosti 4, 2018.

Mchungaji akiongoza ibada ya maziko.

Ibada ya maziko ya Shadrack Sagati ikiendelea

Wananchi wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya kumuombea marehemu.
Mtoto wa marehemu Frank Sagati akilia kwa uchungu.

Mke wa marehemu (katikati), akitoa heshima zake za mwisho.

Waombolezaji wakibeba jeneza.

Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasilaino Wizara ya Viwanda na Biashara, Shadrack Sagati, wakati wa maziko yaliyofanyika kwenye Kijiji cha Miruruma, wilayani Bunda, mkoani Mara Agosti 4, 2018.

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasilaino Wizara ya Viwanda na Biashara, Shadrack Sagati, ukiwekwa kaburini katika maziko yaliyifanyika nyumbani kwako katika Kijiji cha Miruruma, wilayani Bunda, Mkoani Mara Agosti 4, 2018.

Mjane wa marehemu Shadrack Sagati (kulia) akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe wakati wa maziko yaliyofanyika Agosti 4, 2018 kwenye Kijiji cha Miruruma, wilayani Bunda, mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment

Pages