Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana na
Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Wafanyakazi wa Kiwanja cha Ndege
cha Mwalimu Julius Nyerere kumshusha kutoka kwenye ndege Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara. Ndege hiyo
iliwasili majira ya jioni katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya kumpokea Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara.
Ndege
maalumu iliyombeba Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye
alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara ikiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kutokea
mkoani Arusha majira ya jioni.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akisubiri kumpokea Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alipata ajali ya gari
mkoani Manyara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Waziri wa
Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya
gari mkoani Manyara mara baada ya kuwasili kwa ndege katika uwanja wa ndege wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa ndani ya gari la wagonjwa kwa
ajili ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment