Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Rais Dkt.John Magufuli
akipiga makofi na wajumbe wengine kabla ya kuanza kikao cha kamati kuu Maalum
ya Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba
29,2018.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Rais Dkt.John Magufuli
pamoja na wajumbe wengine wakiwa wamesimama kwa dakika moja ili kuwakumbuka na
kuwaombea Majeruhi na waliopoteza maisha katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere
iliyotokea Septemba 20,2018 katika ziwa Victoria kabla ya kuanza kikao cha kamati kuu Maalum
ya Halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba
29,2018.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Rais Dkt.John Magufuli
akiongoza kikao cha kamati kuu Maalum ya Halmashauri kuu ya chama cha
mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba 29,2018.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Rais Dkt. John Magufuli
akizungumza jambo na Makamu Mweyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ally Mohammed Shein mara baada ya kikao cha kamati kuu Maalum ya Halmashauri
kuu ya chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba 29,2018.
PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment